MMOJA WA DEREVA KATI WA LORI AKIWA AMEKAA
CHINI BAADA YA KUVUNJIKA MIGUU KISHA MUDA MFUPI KUFARIKI DUNIA KATIKA
BARABARA KUU YA MOROGORO-PWANI ENEO LA BWAWANI MKOA WA PWANI AMBAPO WATU
WATATU WALIFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA KUTOKEA AJALI YA LORI NA
TANKI LA MAFUTA KUGONGANA USO KWA USO MARCHI 31/ 2013.
LORI LIKIWA LIMEANGUKA NA KUHARIBIKA VIBAYA BAADA YA KUTOKEA AJALI HIYO.
DEREVA WA LORI AKIWA AMEKATIKA MIGUU KABLA YA KUFARIKI DUNIA MUDA MFUPI KATIKA AJALI HIYO.

LORI LIKIWA LIMEZIBA BARABARA BAADA YA
KUTOKEAA AJALI HIYO NA KUSABABISHA FOLENI KUBWA KWA MAGARI YALIYOKUWA
YAKITUMIA BARABARA HIYO KUTOKA KWENDAA DAR ES SALAAM NA MOROGORO.