Hotel ya Ugabe ambayo inaonekana katika picha hapo ambayo imefunguliwa rasimi na Mkuu wa wilaya ya Ruvuma Bw:Joseph Mkirikti

Mkuu wa Wilaya akifanya ufunguzi rasimi wa Hotel ya Ugabe
Mkuu wa Wilaya ya Songea Bwn:Joseph Mkirikiti (kushoto) akiwa na mkurugenzi wa Ugabe Hotel Bwn:Mwilamba (kulia)
Baadhi ya wageni waarikwa walio hudhulia katika ufunguzi huo wa Hotel ya Ugabe wakiburudika na vinywaji