Sunday, July 28, 2013

TBC SONGEA WAMNYONYO JOGOO FM 6 KWA 1

 Toka kulia ni Issa Rashidi aliye wanyonyoa bao 4, katikati ni Tamimu Adamu mchezaji wa Jogoo Fm na wa mwisho ni Hamza Juma
 Baada ya Issa Rashidi kuwanyonyoaa 4 bila uluma shabiki wa Jogoo akaamua kupiga picha na mnyonyoaji wa TBC
 Hakika Jogoo hawata msahau Issa Rashidi
 Hawa ni wachezaji wa TBC Songea
 Gerson Msigwa akitoa maelezo na namna ya kumnyonyoa Jogoo FM pia nae akawanyonyoa Moja
Toka kushoto ni mwakilishi wa ITV Songea Nathan Mtega , Hanna Mayige mkuu wa kanda (TBC Songea) na Good mfanyakazi wa TBC wakiangalia mchezo katika uwanja wa Sokoine
Hapa ilikuwa ni kabla ya mchezo kuanza toka kulia ni Mathew Chisala, Issa Rashidi, Shekhan Mzaina,Rauph Mohamed na Hamza Juma

VIA/ DEMASHONEWS

Saturday, July 27, 2013

Haya ndio maajabu ya Jiwe la Mbuji Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma


Maana ya neno Mbuji ni "Kitu kikubwa"

Hizi ni taswira zake.   
       



 
Sifa kumi za Jiwe la Tano za Jiwe la Mbuji

1. Ni jiwe pekee kubwa Mkoani Ruvuma
2. lina vyanzo vingi vya maji chini yake
3. Ni ngumu kulipanda na ukithubutu yatakayokukuta ni juu yako na tayari Mzungu mmoja kapoteza maisha
4. Ni ngumu kulizunguka
5. Hutumika kwa matambiko kwa baadhi ya koo
6. Kuna watu maalumu wanaotoa maelekezo kwa yeyote anayetaka kulifikia ama kupanda
7. Ni kivutio kikubwa kwa wageni wachache ambao hutembelea Litembo, Maguu, Hagati nk huko Mbinga
8. Linaheshimika sana na wakazi wanaolizunguka jiwe hilo.
9. Sehemu kubwa ya watu wananchi wanaolizunguka hawajawahi kulipanda wala kulisogelea kwa hofu
10. Jina la jiwe hilo ndilo jina la Tarafa ya Mbuji wilayani Mbinga.

Sunday, July 21, 2013

WAZIRI MKUU AFUNGUA RASMI CHUO CHA VETA SONGEA


 MKUU WA CHUO CHA VETA SONGEA  GIDION OLE LAIRUMBE KULIA AKIMKARIBISHA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA CHUONI HAPO KUFUNGUA RASMNI CHUO HICHO,KATIKATI NI KAIMU MKURUGENBZI MKUU WA VETA ENOCK KIBENDERA
 MTANGAZJI WA KITRUO CHA TELEVISHENI CHA TBC I GERSON MSIGWA AKIFUATILIA MATUKIO WAKATI WA ZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA MJINI SONGEA
 KAIMU MKURUGENZI MKUU WA VETA NCHINI ENOCK KIBENDERA WA PILI KULIA, AKIMWELEZA JAMBO WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA MARA BAADA YA WAZIRI MKUU KUWASILI KATIKA CHUO CHA VETA SONGEA,KUOLIA MKURUGENZI WA VETA NYANDA ZA JUU MONICA MBELE
 WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA WA PILI KUSHOTO AKIANGALIA MOJA YA MSHINE ZINAZOTUMIKA KATIKA CHUO CHA VETA SONGEA
 AKISIKILIZA JAMBO KUTOKA KWA MMOJA KATI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA VETA SONGEA,KUSHOTO NI MAMA TUNU PINDA
 KATIBU MKUU WA WIZARAYA VIWANDA NA BIASHARA JOYCE MAPUNJO AKIANGALIA MASHINE YA GARI KATIKA CHUO CHA VETA SONGEA WAKATI WA ZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA WILAYANI SONGEA
 WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIMSIKILIZA MKUU WA CHUO CHA VETA SONGEA GIDION OLE LAIRUMBE NAMNA YA KUTENGENEZA NGUO ZA BATIKI KATIKA CHUO HICHO

 AKIANGALIA JIKO ALILOZAWADIWA NA VETA
 MWANDISHI WA HABARI MKONGWE HAPA NCHINI ADAM NINDI AKIWA NA MBUZI WA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ALIOPEWA NA  CHUO CHA VETA SONGEA
 AKIONDOA KITAAMBAA KAMA ISHARA YA UFUNGUZI WA CHUO CHA VETA SONGEA
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIPANDA MTI WA KUMBUKUMBU CHUONI HAPO

Mashindano ya kusoma Quran tukufu kitaifa yamalizika


Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Abdallah Abdulkadri akisoma wakati wa fainali zake leo


Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Seif Salim Said ambaye ni mremavu wa macho akisoma wakati wa fainali zake leo

Baadhi ya viongoza wa Dini wakifatilia mashindano hayo leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee

Baadhi ya wanafunzi walioshiliki katika kusoma

Quran tukufu

Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Ummy Swaleh Said ambaye ni mremavu wa macho akisoma wakati wa fainali zake leo

Baadhi ya waumini wa Dini Ya Kislam wakiongozwa na Bi,Aisha Sururu wakifatilia Mashindano Hayo

Bi Aisha Sururu akifatilia mashindano hayo yaliyomalizika leo
Zawadi walizopewa washindi

Mgeni Rasmi wa Mashindano ya kuifadhi Quran tukufu kitaifa DR, Suleiman Ally Yussuf katikati na Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran ,Morteza Sabouri wakimkabizi zawadi wa chereani mshindi wa kusoma juzuu 20

Mgeni Rasmi wa Mashindano ya kuifadhi Quran tukufu kitaifa DR, Suleiman Ally Yussuf kulia na Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran ,Morteza Sabouri wakimkabizi zawadi ya bajajji  pamoja na pesa taslmu laki tano mshindi wa kuhifadhi Quran tukufu, Suria Ally Bakari leo

Mgeni Rasmi wa Mashindano ya kuifadhi Quran tukufu kitaifa DR, Suleiman Ally Yussuf  kulia akimkabidhi mshindi bajaji na pesa taslimu laki tano mshindi Abdul Hamid


Baadhi ya washindi wa kuhifadhi Quran Tukufu wakiomba Duwa baada ya kumalizika mashindano hayo

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA SIKU MOJA WA TROIKA YA SADC JIJINI PRETORIA, AFRIKA KUSINI

p1  
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijibu maswali toka kwa wanahabari wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi wa habari mara baada ya mkutano wa siku moja wa  Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika  (SADC Organ Troika on Politics, Defence and Security Cooperation) katika jumba la wageni wa Rais la Sefako Makgatho jijini Pretoria, Afrika Kusini,  Jumamosi usiku. Kutoka kulia ni Rais wa Afrika Kusini Mhe Jacob Zuma, Rais wa Msumbiji ambaye pia ni mwenyekiti wa SADC Mhe  Armando Guebuza, Katibu Mtendajji wa SADC Dkt  Tomaz Augusto Salomão na Waziri wa Mambo ya Nje wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah
p2
Ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa siku moja wa  Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika  (SADC Organ Troika on Politics, Defence and Security Cooperation) katika jumba la wageni wa Rais la Sefako Makgatho jijini Pretoria, Afrika Kusini,  Jumamosi usiku.
p3
 Mwenyekiti wa  Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika  (SADC Organ Troika on Politics, Defence and Security Cooperation), Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini na Rais Armando Guebuza baada ya mkutano wa kamati ya Troika  katika jumba la wageni wa Rais la Sefako Makgatho jijini Pretoria, Afrika Kusini,  Jumamosi usiku.
p4
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi wa Jumuiya za Watanzania waishio Afrika ya Kusini leo Julai 21, 2013 jijini Pretoria, Afrika ya Kusini, muda mfupi kabla ya kurejea nyumbani baada ya kuhudhuria mkutano wa siku moja wa  Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika  (SADC Organ Troika on Politics, Defence and Security Cooperation)
p5
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja  na viongozi wa Jumuiya za Watanzania waishio Afrika ya Kusini leo Julai 21, 2013 jijini Pretoria, Afrika ya Kusini, muda mfupi kabla ya kurejea nyumbani baada ya kuhudhuria mkutano wa siku moja wa  Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika  (SADC Organ Troika on Politics, Defence and Security Cooperation). Kutoka kulia ni Mwenyeiti wa Chama cha Wataalam Watanzania waishio Afrika Kusini, Dkt Hamza Mokiwa, Mwenyekiti wa Tanzania Women in Gauteng (TWIGA), Mama Scholastica Kimario, Rais Kikwete, Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini Mhe Radhia Msuya, Kaimu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Afrika ya Kusini Bw. Deusdedit Rugaiganisa na Bw. David Mataluma, mratibu wa Vijana katika Jumuiya ya Watanzania.
p6
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na balozi pamoja na maofisa wa ubalozi muda mfupi kabla ya kuondoka kurejea nyumbani baada ya kuhudhuria mkutano wa siku moja wa  Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika  (SADC Organ Troika on Politics, Defence and Security Cooperation)
p7 (1)
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiomndoka  leo Julai 21, 2013 jijini Pretoria, Afrika ya Kusini baada ya kuhudhuria mkutano wa siku moja wa  Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika  (SADC Organ Troika on Politics, Defence and Security Cooperation)
p8
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mhe. Radhia Msuya  leo Julai 21, 2013 jijini Pretoria, Afrika ya Kusini, muda mfupi kabla ya kurejea nyumbani baada ya kuhudhuria mkutano wa siku moja wa  Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika  (SADC Organ Troika on Politics, Defence and Security Cooperation)
PICHA NA IKULU

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFANYA ZIARA YA KUKAGUA SHUGHULI ZA USAFI WA MAZINGIRA MKOA WA DAR ES SALAAM

1  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mama Lishe, katika Kituo cha Mabasi cha Amani Mbagala Zakhiem, Koletha Jerome (kushoto) na Siwazuri Kimbachi, wakati alipokuwa kwenye Ziara ya kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo Julai 21, 2013. Picha na OMR
2  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi wakati akitembelea kukagua shughuli za usafi wa mazingira katika Kituo cha Mabasi cha Amani Mbagala Zakhiem, alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo Julai 21, 2013. Picha na OMR
3  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Soko la vyakula la Buguruni, wakati alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo Julai 21, 2013. Picha na OMR
5  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa Matango katika Soko la Buguruni, wakati alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo Julai 21, 2013. Picha na OMR
6  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoka kutembelea Bwawa la maji machafu Buguruni wakati alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo Julai 21, 2013. Picha na OMR
7  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia Mtaro wa maji machafu uliopo Mayfear Plaza Mikocheni wakati alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo Julai 21, 2013. Picha na OMR
8  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na mmoja wa Wakazi wa Msasani baada ya kutembelea kuona Mitaro ya maji machafu ya eneo hilo, wakati alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo Julai 21, 2013. Picha na OMR