Hizo ni taswira za muonekano wa Mbele. Dondoo zaidi shuka chini
Ndani kwa ndani umetengenezwa ufukwe wa bahari wa bandia (Yaani beach) na mawimbi yanapiga kama kawaida, utadhani upo mwambao wa bahari ya hindi vile
Moja ya sehemu za wazi ambako wanaingia mjengoni wanapata maelekezo kupitia flat screen (luninga nyembamba) iliyowekwa langoni
Upande mwingine wa jengo.
Jamaa wanapita kandokando mwa beach iliyopo ndani ya Jongo hilo
DONDOO
- Linaitwa New Century Global Center, lipo katika mji wa Chengdu katika jimbo la Sichuan lenye wachina 14 milioni
- lina urefu wa mita 500,
- Upanda wa mita 400,
- kima cha mita 100,
- nafasi ya ndani square mita milioni1.7,
- lina jua la bandia ambalo huchomoza na kuchwea kama ilivyo jua halisi,
- Ukubwa wa jengo hili ni sawa na Vatican City tano,
Ama hakika Wachina Noma!!!!!!!!!Mabingwa wa Kimombo soma zaidi........Seemingly locked in a battle for superlative supremacy, China and Dubai continue to construct a dizzying number of record-breaking attractions. Home to Burj Khalifa, the world’s tallest building, Dubai has this year inaugurated the world’s biggest natural flower garden, the world’s tallest hotel and the world’s tallest twisted tower. China, meanwhile, is preparing to open a ‘groundscraper’ cave hotel that will burrow 19 storeys below the ground, and it has now opened the world’s largest freestanding building in Chengdu.