Afisa miradi wa Shirika la Sightsavers, Janeth
Bushiri akiwasaidia jambo walemavu wa macho, Sikudhani Sanga na Said Lwimbo
wakati wa ufungaji mafunzo maalum ya
programu ya teknolojia saidizi kwa watu wenye uoni hafifu Dar es Salaam
jana, yaliyotolewa na Shirika la Sightsavers ikishirikiana na Taasisi ya Elimu
Tanzania (TEA) pamoja na Chguo Kikuu Huria(OUT). Jumla ya washiriki 41 kutoka
maeneo mbalimbali nchini wamenufaika.
Afisa miradi wa Shirika la Sightsavers, Janeth
Bushiri akiwasaidia jambo walemavu wa macho, wakati wa ufungaji mafunzo maalum
ya programu ya teknolojia saidizi kwa
watu wenye uoni hafifu Dar es Salaam jana, yaliyotolewa na Shirika la
Sightsavers ikishirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA) pamoja na Chguo
Kikuu Huria(OUT) ambapo jumla ya washiriki 41 kutoka maeneo mbalimbali nchini
wamenufaika.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo maalum ya
programu ya teknolojia saidizi kwa watu wenye uoni hafifu, na wasiiona
yaliyotolewa na Shirika la Sightsavers ikishirikiana na Taasisi ya Elimu
Tanzania (TEA) pamoja na Chguo Kikuu Huria (OUT) wakitumia kompyuta mpakato
maalum wakati wa ufungaji wa mafunzo yao Dar es Salaam jana. Jumla ya washiriki
41 kutoka maeneo mbalimbali nchini wamenufaika.