Saturday, July 6, 2013

Siri Yangu!!!! Naheshimu Pombe za Asili, Zimenisomesha.

Siku nilipokua Kijijini Kwangu Ilungu, wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe na Kumbukumbu yangu kwa pombe aina ya Komoni ambayo ndio imenisomesha hadi nilipofika, asante Mama na Baba
 
Napika pombe aina ya Komoni pamoja na mama yangu Mzazi Semahuve (shoto) na Shangazi yangu (Kulia)
 
 
Baba Mzee Partinus Msigwa (aka Mzee P) na Mama Paskalina Mahuve (aka Semahuve)
 
 
Dada Agnes (wa kwanza, Dada Ideli (Katikati) na shangazi Denzia (Kulia)