Monday, May 20, 2013

Haya haya Master's Degree in Mass Communication SAUT Songea Center. Jamani wanaohitaji Jazeni questionnaire tuanze Part-time weekends

Haya jamani wale wanaohitaji kujiunga na Masters Degree in Mass Communication Chuo kikuu cha SAUT Songea Center. Jazeni questionnaire hiyo, halafu muitume SAUT Songea, ama mnaweza kuwasiliana nami kwa namba 0754 750765 au na Juma Nyumayo 0755448177 au Revocatus Kasimba 0754448929 ili tuwaunganishe moja kwa moja na uongozi wa Chuo kwa mawasiliano zaidi. Mpaka sasa watu kama kumi tuliopo Songea tupo Tayari, chelewa chelewa utakuta mwana si wako