Sunday, May 26, 2013

Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Wapiga Doria ya Nguvu Kuhakikisha Hali ya Utulivu na Usalama Mtwara

 Ndege ya jeshi ikiwa imeshusha vifaa na baadhi ya askari katika Uwanja wa Ndege Mtwara jana.

Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakifanya doria katika mitaa ya Mji wa Mtwara