Saturday, May 25, 2013

Taswira za yanayojiri katika Mkutano wa AU Huko Addis Ababa, Ethiopia.

Wajumbe, wageni waalikwa, wanahabari na wadau mbalimbali wakijichanganya nje ya ukumbi wa mkutano wakati wa mapumziko
Viongozi wa nchi mbalimbali waliohudhuria 

Mandhari za nje na ndani ya jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki Moon akiwa meza kuu pamoja na Rais wa AU Mama Nkosazana Dlamini Zuma na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn na viongozi wengine wa umoja huo
Sehemu ya ukumbi wa mikutano kwa ndani