Thursday, May 9, 2013

Mahakama ya Rufani yatupilia mbali rufaa dhidi ya Aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, Abdallah Zombe

Aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, Abdallah Zombe akizungumza na waandishi wa habari kwenye Viwanja vya Mahakama ya Rufani Dar es Salaam jana mara baada ya rufaa dhidi yake kutupiliwa mbali. Picha na Michael Jamson.