Saturday, May 25, 2013

RAIS JAKAYA KIWKETE AWASILI ADDIS ABABA, ETHIOPIA, KUHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA OAU NA AU


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na maafisa wa ubalozi pamoja na wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole jijini Addis Ababa, Ethiopia, Ijumaa Mei 24, 2013 usiku tayari kuungana na viongozi wenzie wa Afrika pamoja na wageni waalikwa katika sherehe za miaka 50 toka umoja wa Afrika (OAU na AU)  kuanzishwa pamoja na mkutano wa kawaida wa umoja huo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole jijini Addis Ababa, Ethiopia, Ijumaa Mei 24, 2013 usiku tayari kuungana na viongozi wenzie wa Afrika pamoja na wageni waalikwa katika sherehe za miaka 50 toka umoja wa Afrika (OAU na AU)  kuanzishwa pamoja na mkutano wa kawaida wa umoja huo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakisikilia maelezo toka kwa Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Profesa Joram Biswalo maara baada ya kuwasili  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole jijini Addis Ababa, Ethiopia, Ijumaa Mei 24, 2013 usiku tayari kuungana na viongozi wenzie wa Afrika pamoja na wageni waalikwa katika sherehe za miaka 50 toka umoja wa Afrika (OAU na AU)  kuanzishwa pamoja na mkutano wa kawaida wa umoja huo.(PICHA NA IKULU)