Wednesday, May 22, 2013

Mtwara Mikindani hii hapa

Nimepita Mtwara Mikindani, nimefurahishwa na mandhari yake. Tanzania inapendeza sana, kusini kuzuri jamani


Safi saaaana

Baadhi ya wananchi wa Mtwara wanachangamka kwa makazi bora. Hongera sana