Friday, May 24, 2013

Mada ya Makwaia wa Kuhenga, ni Udini au Tumeingiliwa?

Katika pita pita zangu na udondozi kwenye luninga za bongo, nimekutana na mada hii ya kipindi cha nguli wa habari Mzee Makwaiya Wakuhenga. Big Respect to you Senior!!!


Wanajopo wa Mada hii ni hawa hapa. Kama hukutazama kipindi hiki pole lakini kwa kuwa mada umeiona basi changanya na za kwako.

Je ni Udini au Tumeingiliwa?