Saturday, May 25, 2013

Bayern Munich Vidume wa Champions League!!!!!!!!!


Mpira Umekwishaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!! 
Bayern Munich 2, Borussia Dortmund 1

Arjen Robben akitungua nyavu kwa bao la ushindi la Bayern Munich

Robben 'man of the match' akifurahia bao la ushindi na wenzake.

Mandzukic akishangilia bao la kwanza la Bayern

Jamaa wakanyakua kombe kiulaiiiini

Pamoja na kwamba Robben ameiwezesha Bayern kunyaka kombe lakini jamaa alikosa kama mabao manne ya wazi kabisa. yaani hata mimi ningeshinda kabisa


Hatimaye Bayern Munich wamefanikiwa kuwa Mabingwa mara ya tano wa michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya. Ni baada ya kuilaza Borussia Dortmund 2-1. Arjen Robben aongoza mauaji