Thursday, May 23, 2013

Ka' Michu Lindi tena lini?

Baada ya kupiga boksi, kaka Michuzi hunipa hili na lile kutokana na uzoefu wake wa miaka mingi katika fani. Thank you brother, you are a good man, keep it up.