Saturday, May 18, 2013

Wakati Jamaa wale wa nani hiii wanashangilia 2-0 kamanda wangu anasema Taifa kwanza

Kamanda Wangu Chester kaniacha hoi, wakati jamaa wa pale mtaa wa Jangwani wanashangilia kumchinja mnyama yeye anasema Taifa kwanza.

Nilipomlazimisha anipe msimamo wake nikaambulia kifua wazi. Tanzania hoyeeeeeee