Saturday, May 25, 2013

Jibu linahitajika wadau!!!


Habari waandishi wa Habari wenzangu

Leo nilipokua naanza kutekeleza majukumu yangu ya kitaifa nimekutana na mtu mmoja mpenzi wa vyombo vya habari na waandishi wa habari katika mitaa ya Majengo ndani ya Manispaa ya Songea. Huyu mtu ninayemheshimu ameniuliza swali moja tu na nikamuomba tupate wakati wa kulizungumza kwa undani. Kwa jina humwita Mr Mpali.

Mpali amenitaka nimueleze kwa nini kumekua na madai mengi kuwa maslai ya waandishi wa habari ni duni ilihali waandishi wa habari wamekua vinara wa kuandika kuhusu kada mbalimbali zenye malalamiko ya mishahara duni?

Ahaa!!!! Wadau tusaidiane majibu hapo.