Saturday, June 1, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT.BILAL ATEMBELEA CHUO KIPYA CHA TEHAMA CHA VETA KIPAWA JIJINI DAR LEO

VET 2 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza na kumtazama Mwanafunzi wa umeme, Elia Michael, alipokuwa akielezea jinsi wanafunzi hao wanavyoweza kuunda Sacket ya umeme inayoweza kuongoza mashine mbalimbali za umeme, wakati Makamu alipotembelea katika Chuo kipya cha Tehama cha VETA Kipawa jijini Dar es Salaam, leo Juni 1, 2013. Picha na OMR VET 4 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza na kumtazama Mwanafunzi wa umeme, Elia Michael, alipokuwa akielezea jinsi wanafunzi hao wanavyoweza kuunda Sacket ya umeme inayoweza kuongoza mashine mbalimbali za umeme, wakati Makamu alipotembelea katika Chuo kipya cha Tehama cha VETA Kipawa jijini Dar es Salaam, leo Juni 1, 2013. Picha na OMR VET5 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbi kumbu mbele ya jengo la Chuo cha VETA, wakati alipotembelea chuo hicho cha Tehama cha VETA Kipawa, leo Juni 1, 2013. Picha na OMR VET8 
Sehemu ya wanafunzi, walimu wa Chuo hicho waliohudhuria, wakimsikiliza makamu wakati akizungumza VET5 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbi kumbu mbele ya jengo la Chuo cha VETA, wakati alipotembelea chuo hicho cha Tehama cha VETA Kipawa, leo Juni 1, 2013. Picha na OMR
VET9 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza machache baada ya kutembelea na kujionea Teknolojia ya ufundishiaji inayotumiwa na walimu wa Chuo hicho cha VETA Kipawa
VET10 
Picha ya pamoja na walimu na watumishi wa Chuo hicho.