Monday, June 24, 2013

PICHA ZA WAZIRI MKUU MHE. PINDA AKIFUNGUA MKUTANO WA MADC, MARC NA MARAS BUNGENI MJINI DODOMA

Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wakinukuu maelekezo ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua  Mafunzo  ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma  Juni 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu IMG_0037 
Baadhi ya Wakuu wa  Wilaya wakimsikiliza  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua  Mafunzo  ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma  Juni 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu MizengoPinda akihutubia wakati alipofungua  Mafunzo  ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma  Juni 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0055 
Waziri Mkuu MizengoPinda akihutubia wakati alipofungua  Mafunzo  ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma  Juni 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0118 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa mkuranga na  Waziri wa Kilimo na Ushirika, Adam Malima, Bungeni mjini Dodoa Juni 24, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0143 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na wabunge, Bungeni Mjini Dodoma 24,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0149 
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Wabunge Mary Chatanda wa Viti Maalum (kushoo)  na  Mbunge wa Sumbawanga, Aeshi Hillaly kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 24, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0150 
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Wabunge Mary Chatanda wa Viti Maalum (kushoo)  na  Mbunge wa Sumbawanga, Aeshi Hillaly kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 24, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0161 
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere (kushoto) na Mbunge wa Sumbawanga, Aeshi  Hillaly kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 24, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere (kushoto)  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 24, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0177 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Sumbawanga, Aeshi  Hillaly kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 24, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)