Wednesday, June 5, 2013

Taswira za JK akiwa Singapore kwa Ziara ya Kikazi



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore leo Juni 5, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore leo Juni 5, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore leo Juni 5, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete za ujumbe wake wakitembezwa kuangalia bandari ya Singapore

Rais Jakaya Kikwete akiendelea kuangalia Bandari ya Singapore ambayo ni tegemeo kubwa la Uchumi wa Singapore. Sekta ya Bandari na Viwanda huchangia asilimia 26 ya pato la Singapore

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa Singapore leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na  Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore. Kulia ni balozi wa Tanzania nchini Singapore Injinia John Kijazi


PICHA NA IKULU