Saturday, June 1, 2013

Ndizi za Ludewa

Pamoja na kwamba wananchi wa Mlangali na Lusitu katika Wilaya ya Ludewa ni wakulima wazuri wa Kahawa pia hulima Ndizi