Saturday, June 1, 2013

Mikumi Leo

Ukitoka tu Stand ya Mikumi.
Pale mbele unakata shoto kwenda kwa Kalembwani

Hapo ni Mizani ya Mikumi

Fuso likitoka kupimwa Mizani. Siku hizi jamaa wanazipakia hizi fuso hadi tani 18 wakati uwezo wake ni tani 4.25. Bongo Tambalale