Thursday, June 13, 2013

MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI KANDA YA KATI MJINI DODOMA!!

 IMG_0689 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Seriklai za Mitaa, Hawa Ghasia kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Juni 13, 2013. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu) IMG_0706 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani Emmanuel Nchimbi kwenye viwanja vya Bunge Mjini dodoma Juni 13, 2013. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizunguma na Wabunge Lolesia Bukwimba wa Busanda (katikati) na Felisita Bura wa Viti Maalum kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni13, 2013. (Picha na Ofisi yaWairi Mkuu
IMG_0725 
Wabunge Batrice Shelukindo wa Kilindi (kushoto) ana Aza Hilal wa Viti Maalum wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Juni 13, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)