Saturday, June 1, 2013

UFUNGUZI SOKO LA TUMBAKU


untitled2 f6823
Ndg, Johni Sanga meneja wa vyama vya umoja wa wakulima wa Tumbaku Iringa Vijijini akimkabidhi risala Afisa biashara Mkoa wa Iringa Ndg,Johni Kiteve aliekuwa mgeni rasimi katika ufunguzi wa Soko la Tumbaku msimu wa 2013 uliofanyika katika ofisi za Tumbaku Ndiuka Manispaa ya Iringa
untitled 4bbd1
Afisa Biashara Mkoa wa Iringa Johni Kiteve akisaini kuidhinisha uuzwaji tumbaku katika uzinduzi wa soko