Friday, April 12, 2013

CCM wampigia magoti Balozi Lu Youqing asaidie ukarabati wa Majimaji Stadium

 Mwenyekiti wa CCM Oddo Mwisho akimpa zawadi ya kinyago balozi wa China anaye shuhudia kulia Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Joseph Mkirikiti

.   
Hapa Ndio Hightable au VIP. 
Huu Ndio Mzunguko wa Jukwaa kuu la Majimaji Stadium. 
Wachezaji wa timu ya Majimaji Kabla ya kupiga mechi ya mwisho ya ligi daraja la kwanza.
Hata hivyo wameshindwa kufuzu kucheza ligi kuu msimu ujao Baada ya kuzidiwa point na Mbeya City waliopanda daraja. Majimaji ilikua mshindi wa pili na hivyo Wananchi wa Songea na Ruvuma  wataendelea kuisikia ligi kwenye radio na kuitazama kunako TV
Moja ya timu zijazotumia uwanja wa Majimaji ikijitupa uwanjani kusukuma gozi.
Uwanja umeharibika pitch, sehemu za kukaa, vyoo nk. Unahitaji ukarabati mkubwa. Shukrani kwa Hayati Dr Lawrence Gama kwa kujenga uwanja huu. Alikua bado hajaukamilisha.