Mwili wa marehemu Nyaga poul Mawalla ukiwa katika kanisa la Kilutheri nchini Kenya usharika wa Uhuru Highway kwa ajili ya misa
Mwenyekiti
wa Chadema Freeman Mbowe,Naibu Waziri wa Utalii na Maliasili Lazaro
Nyarandu na Sir George kahama wakiwa kanisani wakishiriki misa ya maziko
ya marehemu Nyaga Mawalla.
Mbunge
wa Jimbo la Arusha mjini Chadema wa tatu kushot Mh Godbless Lema ni
miongoni mwa waombolezaji waliokuwa kanisani nchini Kenya.
Mbunge
wa Jimbo la Simanjiro wilani Simanjiro mkoani Manyara Christopher Ole
Sendeka na Waziri wa zamani wa mambo ya ndani Laurence Marsha wakiwa
kanisani nchini Kenya maziko ya marehemu Poul Mawalla
Kiongozi wa Dini wa Kanila la Kilutheri Kenya la Uhuru Highway akiongoza Mazishi.
Jaji Mark bomani nae alikuwa ni miongoni mwa waombolezaji walioshiriki mazishi hayo.
Sir George Kahama na mkewe wakiweka shada la maua katika Kaburi la Marehemu Nyaga Mawalla.
Mwenyejiti wa Chadema, Freeman Mbowe na mkewe wakiweka shada la maua
Wanafamilia wakiweka mashada ya maua
Wabunge na Mawaziri mbalimbali wa serikali ya Jamhurti ya Muungano wa
Tanzania, wakiweka mashada ya maua,pichani mbunge wa kahama -CCM James
Lembeli akiweka shada la mau nyuma yake ni naibu waziri wa maliasili na
utaliii Lazaro Nyalandu
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akiweka shada la Maua
Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt Batilda Burianiakiweka shada la maua
Baadhi ya jamaa wa karibu wa Marehemu Nyaga ambao ni wabunge wakiweka
Shada la Maua pichani ni mbunge wa Arusha Mjini -Chadema Mh Godbless
Lema na Mbunge wa iringa Mjini Chadema Mchungaji Msigwa
Familia ya Marehemu Nyaga Mawalla wakiwa wenye simanzi nzito wakati wa Mazishi hayo.
Watoto wa Marehemu Nyaga wakiwa na ndugu zao.
Balozi
wa Tanzania nchini Kenya Dkt Batilda Buriani akiwa na mwanasheria
maarufu Jijini Arusha anayemiliki kampuni ya uwakili ya Law /Access
Advocates Mosses Mahuna wakiwa nje ya kanisa la Lutherani nchini Kenya.
----
Mazishi
ya Marehemu Nyaga Mawalla, aliyekuwa Mwasisi na Mkurugenzi wa Makampuni
ya Mawalla ya Jijini Arusha yamefanyika jana jijini Nairobi Kenya katia
Makaburi ya Jumuia ya Langata.
Mapema
kabla ya Mazishi hayo yaliyohudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa
Serikali na familia na marafiki ilifanyika Misa ya kumuombea Marehemu
katika Kanisa la KKKK, Uhuru Highway.
Miongoni
mwa Viongozi waliohudhuria Mazishi hayo ni Balozi wa Tanzania nchini
Kenya, Dk. Batilda Burian, Viongozi wastaafu, Sir. George Kahama,
Mwemyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Wabunge, Mawaziri wanasheria
mabalimbali wa ndani na nje ya Tanzania.
Marehemu Nyaga Paul Mawalla alifariki Machi 22, 2013 jijini Nairobi alikokuwaa amelazwa kwa matibabu Hospitali ya Nairobi.