Monday, April 8, 2013

Soko kuu Iringa leo

 

Soko kuu manispaa ya Iringa linaendelea kutoa ajira kwa mamia ya wananchi. Kama kawa biashara ya ndizi kutoka mbeya ipo juu. Mkungu mmoja buku nane tu.