Tuesday, April 9, 2013

RAIS DK.SHEIN AKUTANA UONGOZI WIZARA YA BIASHARA VIWANDA NA MASOKO


1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara  ya
Biashara,Viwanda na Masoko,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo
katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,( kushoto)  Makamo wa
Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad,[Picha na
RamadhanOthman,Ikulu.] IMG_9884
Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali
katika Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko,wakiwa katika ukumbi wa
mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha Uongozi wa Wizara
hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa katika mpangilio  wa Rais,
kuzungumzia utekelezaji wa kazi za kila Wizara,[Picha na
RamadhanOthman,Ikulu.]