Thursday, April 4, 2013

Karibuni wadau tule Ntesa wa Lindi

Fungu moja jiti moja. Hapa ni kandokando mwa bahari ya Hindi nje ya mji wa Lindi.