Friday, April 19, 2013

MKUTANO WA OFISI YA RAIS NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI,TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA.

IMG_9904

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame,(kulia) na Wakuu wa Mikoa ya Zanzibar
na wilaya wakiwa katika mkutano uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi,Tawala  za Mikoa na Serikali za
Mitaa,Mwenyekiti akiwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika utekelezaji wa
kazi za taasisi hizo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo
asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9909

Baadhi ya Watendaji Maafisa Tawala katika Mikoa ya
Zanzibar,wakiwa  katika mkutano uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi,Tawala  za Mikoa na Serikali za Mitaa,chini ya
Mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika utekelezaji wa kazi za
taasisi hizo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.[Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9911

Wakuu wa Wilaya za Unguja na Pemba,pamoja na Maafisa
wengine wakiwa  katika mkutano uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi,Tawala  za Mikoa na Serikali za Mitaa,chini ya
Mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika utekelezaji wa kazi za
taasisi hizo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.[Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9912

Maafisa na watendaji wa Tawala za Mikoa
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akiongoza kikao cha
uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Tawala
za Mikoa na Serikali za Mitaa,katika utekelezaji wa kazi za taasisi
hizo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.] M IMG_9917

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiongoza kikao cha Uongozi wa Ofisi ya
Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Tawala  za Mikoa na Serikali
za Mitaa,katika utekelezaji wa kazi za taasisi hizo,katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,(kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la
Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahya Mzee.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]