Tuesday, April 2, 2013

Mishikaki ya wa Wamasai Moro

Nikiwa safari kirudi Bombii hii, nyumbii hii baada ya kutoka Stand ya Msamvu Morogoro kama kilometa 30 hivi maraq basi Basi la Super Feo likasimama, nikakutana na mambo yetu ya nyama choma ya wamasai wa Moro. Mshikaki mmoja buku tatu, yaani lainiiiiii!!!!!!!!