Thursday, April 4, 2013

Ufunguzi wa UGABE HOTEL iliyopo ndani ya Manispaa ya Songea Mkabala na Stendi kuu ya Songea Wafanyika April.4.2013 shuhudia matukio katika picha

Hotel ya Ugabe ambayo inaonekana katika picha  hapo ambayo imefunguliwa rasimi na Mkuu wa wilaya ya Ruvuma Bw:Joseph Mkirikti

 
 Mkuu wa Wilaya akifanya ufunguzi rasimi wa Hotel ya Ugabe
 Mkuu wa Wilaya ya Songea Bwn:Joseph Mkirikiti (kushoto) akiwa na mkurugenzi wa Ugabe Hotel Bwn:Mwilamba (kulia)
 Baadhi ya wageni waarikwa walio hudhulia katika ufunguzi huo wa Hotel ya Ugabe wakiburudika na vinywaji