Saturday, April 6, 2013

Chalinze leo asubuhi na heka heka za vijana kusaka noti

 Biashara asubuhi jioni mahesabau , jamaa kama anasema za leo leo hizo  sambusaaa sambusaaaaaaaaaaa
 Haya wasafiri pata juice safiiiiii
 Zawadi uendako muhimu 

Ujasiriamali wa Vijana wa Chalinze. Swali langu unawasaidia kwa kiasi gani na kwa mipango gani? Au business as usual.